U Udakuz Member Joined Feb 4, 2013 Posts 85 Reaction score 51 Mar 19, 2015 #1 Mwanamuziki Kamikaze Amefunguka kuhusu Kumnyang'anya Demu Bob Junior na Video iliyovuja akiwa na Mrembo Sabby Chumbani Huku Mrembo huyo ambae ni Demu wa Bob Junior Akijinadi Kwa kumwita Kamikaze Baby na kusema wako vacation: Video hii Hapa: https://www.youtube.com/watch?v=7KE2IEw8MZI Angalia Hapa Chini Udaku TV Inakuletea Umbea Huo Wote: Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mwanamuziki Kamikaze Amefunguka kuhusu Kumnyang'anya Demu Bob Junior na Video iliyovuja akiwa na Mrembo Sabby Chumbani Huku Mrembo huyo ambae ni Demu wa Bob Junior Akijinadi Kwa kumwita Kamikaze Baby na kusema wako vacation: Video hii Hapa: https://www.youtube.com/watch?v=7KE2IEw8MZI Angalia Hapa Chini Udaku TV Inakuletea Umbea Huo Wote:
NIMPENDENANI JF-Expert Member Joined Nov 2, 2014 Posts 6,114 Reaction score 5,391 Mar 19, 2015 #2 mmmmmmmmmmm....Uje huyo demu sie angekua Demu wa mana asinge chukuliwa kirahisi kama Pipi....
Dejane JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 50,587 Reaction score 71,492 Mar 19, 2015 #3 Hata haisisimui yaaan watu wengine sio wa kujadiliwa kabisaa hawana mvuto cc matumbo Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
matumbo JF-Expert Member Joined Jul 9, 2011 Posts 7,224 Reaction score 3,951 Mar 19, 2015 #4 Dinazarde said: Hata haisisimui yaaan watu wengine sio wa kujadiliwa kabisaa hawana mvuto cc matumbo Click to expand... Jamaa anafosi jina mjini kwa gharama kubwa sana, kuna siku watambandua kama bado ajapewa mti...Mwanaume haipendezi kuwa na shobo.
Dinazarde said: Hata haisisimui yaaan watu wengine sio wa kujadiliwa kabisaa hawana mvuto cc matumbo Click to expand... Jamaa anafosi jina mjini kwa gharama kubwa sana, kuna siku watambandua kama bado ajapewa mti...Mwanaume haipendezi kuwa na shobo.
Raynavero JF-Expert Member Joined Apr 29, 2014 Posts 38,378 Reaction score 56,047 Mar 19, 2015 #5 kick...!!!
kende JF-Expert Member Joined Dec 2, 2013 Posts 3,527 Reaction score 1,668 Mar 19, 2015 #6 ha ha ha, kupata ustaa kazi
Dejane JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 50,587 Reaction score 71,492 Mar 20, 2015 #7 matumbo said: Jamaa anafosi jina mjini kwa gharama kubwa sana, kuna siku watambandua kama bado ajapewa mti...Mwanaume haipendezi kuwa na shobo. Click to expand... Umeona eeeee
matumbo said: Jamaa anafosi jina mjini kwa gharama kubwa sana, kuna siku watambandua kama bado ajapewa mti...Mwanaume haipendezi kuwa na shobo. Click to expand... Umeona eeeee
PongLenis JF-Expert Member Joined Sep 17, 2010 Posts 427 Reaction score 133 Mar 20, 2015 #8 Sabby mtamu lakinii
Prince Kunta JF-Expert Member Joined Mar 27, 2014 Posts 22,797 Reaction score 28,904 Mar 20, 2015 #9 Promo tu
Amalinze JF-Expert Member Joined May 6, 2012 Posts 6,780 Reaction score 5,305 Mar 21, 2015 #10 Kick yako kamikaze haijakaa vizuri,Tupo Juu ndio real kamikaze 2008