Video: Kanisa lenye fimbo za upako

Video: Kanisa lenye fimbo za upako

Mkiambiwa Dini ya haki mnashupaza shingo [emoji23][emoji23]
 
kama si igizo mh! mtu na akili zako huwezi kufata huo ujinga
 
Angemalizia kuipiga madole labda ndiyo ingepata akili hiyo misukule.
 
Kama Kuna wengine wanalishwa nyasi Kama punda kule saizi sembuse mboko. Wacha wapigwe tu hakuna namna
 
Chapaaa hayo mamburula

NB: wajinga ndio waliwao
 
Back
Top Bottom