VIDEO: Katibu wa Kanda ya Pwani Chadema atema cheche dhidi ya CCM na serikali yake

VIDEO: Katibu wa Kanda ya Pwani Chadema atema cheche dhidi ya CCM na serikali yake

M-mbabe

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2009
Posts
13,203
Reaction score
23,027
Katibu wa Kanda ya Pwani Chadema, Hemed Ally, ametema zake cheche hizo mbele ya wananchi huko Bagamoyo.

Msikilize....

Acha atafute jina akishakua maarufu ajiuze kwa bei ya kandambili za chooni.
 
Uongo mbaya. Chadema wana watu makini sana. Upeo wao wa kifikra ni mkubwa na wa kipekee hakika. No wonder CCM kila ukichwa wanatafuta vichwa Chadema wavichukue
 
Chadema Media. Hizi ndo clips mnazotakiwa kuwa mnazisambaza muda wote kwenye groups mbalimbali. Watu wanatema madini ya yanaingia akilini kisawasawa.
Juzi niliona clip ya diwani wa momba akielezea jinsi serikali ilivyochangia kushuka kwa bei za mazao huko kwa wakulima.

Kwa kipindi hichi cha uchaguzi kikosi chenu cha Media ndo liwe kinafanya kazi ya kusambaza hizi clips kwenye media na groups mbalimbali za social Media.

Nawahakikishia Chadema mkisisitiza nguvu ya umma na creativity mwaka huu lazima CCM akae.
 
Wazo sahihi kabisa. Pia wapange watu mahiri sana kwenda kwenye vipindi vya mijadala, katika vituo vikubwa vya redio na Televisheni.
 
Mabaki ya Lowasa yaliyobaki chadema .Huyo alitoka CCM na Lowasa akapewa vyeo chapchap chadema

Lowasa aliporudi CCM kawaachia Chadema Hemed Ally wahangaike naye

Chadema Hemed Ally huyo Tumewaachieni CCM mabaki ya Lowasa
 
Back
Top Bottom