Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo ni uchoyo, si lazima kujua kusoma dua ndio ule futari.
Hali imebadilika sababu ya njaa umasikini na tabia za watu kubadilika.Huo ni uchoyo, si lazima kujua kusoma dua ndio ule futari.
mi huwa naenda kununua futari kwa mama lishe maana futari za kukaribishwa zimeadimika sana miaka hiiMiaka ya 80,90s huko watu walikuwa wanafuturu vibarazani
Mpita njia akipita anakaribishwa
Dunia ya sasa hakuna hiyo...kila mtu anajifungia....au unakutana na bango TUNAUZA FUTARI 10000/,5000 Kwengine mpk 20000
Kweli dunia imebadilika
Ova