Video: Kesi ya F. A. Mbowe na wenzake, wakili aichambua hukumu ndogo ya Jaji M. Siyani...


Simple and clear:

1. kwanini jaji ametupilia mbali pingamizi kuwa maelezo ya mshitakiwa yalitolewa nje ya muda?

(a) Kwa ushahidi upi?
(b) Kwa kifungu kipi cha sheria?

2. Kwanini jaji ametulipia mbali pingamizi kuwa mshitakiwa aliteswa?

(a) Kwa ushahidi upi?
(b) Kwa kifungu kipi cha sheria?
 
Wati waondoe imani kabisa kwenye mahakama hizi za Tanzania, labda kama ni kesi ya wizi wa kuku au nyanya, lakini siyo inayohusisha dola.

Mnatakiwa mfahamu kuwa Msajili wa Mahakama ni afisa wa TISS. Huyu akishakubaliana na Rais juu ya hukumu inayotakiwa, ndiyo hupanga jaji au hakimu wa kuisikiliza, ambaye naye ni lazima awe afisa wa TISS aliyepewa ujaji au uhakimu.

Kesi ya Mbowe, kwanza aliwekwa afisa wa TISS, akajiondoa, kisha msajili akamweka afisa mwingine wa TiSS, Mustapha. Ametoka huyu, ni lazima apangwe tena afisa mwingine wa TISS.

Hata kesi ya Sabaya haijasikilizwa na hakimu halisi bali afisa wa TISS aliyetumbukizwa mahakamani. Kinadharia, amehukumiwa kwa makosa ya unyang'anyi wa fedha lakini siyo sababu. Kama ni unyang'anyi wa fedha, Sabaya anamzidi Makonda?
 
Nina mashaka kama ulisoma ile hukumu kweli
 
Nina mashaka kama ulisoma ile hukumu kweli

Wewe uliyeisoma ugumu uko wapi kuweka majibu hapa kwenye hizo question marks hapo chini?

------
1. kwanini jaji ametupilia mbali pingamizi kuwa maelezo ya mshitakiwa yalitolewa nje ya muda?

(a) Kwa ushahidi upi?
(b) Kwa kifungu kipi cha sheria?

2. Kwanini jaji ametulipia mbali pingamizi kuwa mshitakiwa aliteswa?

(a) Kwa ushahidi upi?
(b) Kwa kifungu kipi cha sheria?
--------

Weka majibu wacha porojo.

Wewe si una miaka 2 ya kazi?

 
Amepewa cheo katika mazingira ya kushangaza na katika wakati usio tarajiwa! Na yeye akakubali kwa mikoni yake miwili kumtumikia Shetwani Ibilisi!

Malipo ni hapa hapa duniani.
Samia anaenda na mdundo ule ule wa Jiwe wa kuwatunza wahalifu ili kukomoa watesi wake.
 
Samia Suluhu Hassan ndiye HAKIMU wa hii kesi. Wala msimlaumu Sana Jaji Mustafa japo kashindwa kusimamia weledi wa kazi yake.

Cheo alichopewa ni km alikumbushwa wajibu wake ktk hii kesi. Na amefanya na kujitoa.
 
Jaji alitaka aone mpaka makovu ya mshitakiwa lkn ktk hukumu amefumba macho.

Hukumu ya maagizo.
 
Dhuluma na maovu yafanywayo na hii Serikali hayana tofauti kabisa na dhuluma na maovu yaliyofanywa na iliyokuwa Serikali ya Makaburu wa Afrika Kusini.

Cc: Hangaya kokote aliko
 
Reactions: BAK
Hawatamuhukumu kifungo Mbowe kamwe,nmwanabuy time tu,watamuachia
 
Watu wengine hupoteza fursa ya kutengeneza historia. Huyu ni mmoja wao.
Bado hakuona fursa hiyo iliyokuwa wazi kwake?

Hapa alitakiwa asimamie sheria tu basi bila ya mizengwe yeyote ile. Kwani waliompa hicho cheo wangemnyang'anya cheo kwa vile katimiza matakwa ya sheria?

Watu kama hawa sijui hutokea wapi. Mtu umepewa cheo; na mbele yako unajuwa utajijengea heshima kubwa ya kihistoria!

Kwani genge hili la wahalifu waliopo madarakani watakuwa hapo milele?

Hali inavyokwenda ni dhahiri hawa watawala sasa wapo ukingoni. Nchi haiwezi kutawaliwa kishenzi namna hii ikabaki salama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…