Elections 2010 Video - Kijana anasema "hatutoki hapa hadi kieleweke".. wanalinda kura "zao"

Elections 2010 Video - Kijana anasema "hatutoki hapa hadi kieleweke".. wanalinda kura "zao"

safi sanaa........ vijana tuwakilisheni hakuna kuchakachua leo!!!!
 
yah shukrani nasikililiza hii bongoradio ila ndi sipati picha .
 
Namwona bwn monyo mchaga wa malinyi ulnga,mpaka kieleweke ni kulinda kula
 
Hivi haya majomboa yaliyoahirosha ni kwanini? na kwa nini yako mengi hivi? mimi nina wasiwasi hayo ndo ya kuchakachua sana
 
jamani natamani niendelee kupata matokeo ya sehemu mbali mbali lakini sijalala juzi na jana nilikuwa nalinda kura za CHADEMA jimbo la ubungo. nimewakilisha vizuri, hawajachakachua, nalala niote ndoto njema zaidi. stay blessed.
 
Haya majimbo yaliyoahirishwa kuna walakini!!!::doh:
 
Back
Top Bottom