Ikaria Member Joined Jul 17, 2019 Posts 93 Reaction score 238 Jun 20, 2024 #1 NAIROBI: Kijana Mkenya ahimiza wenzake kuendelea kuandamana, wakati akisubiri kupelekwa hospitali na ambulensi, mara tu baada ya kuumia. Pia, soma: LIVE: Yanayojiri Maandamano Kenya kupinga Mswada wa Sheria ya Fedha Your browser is not able to display this video.
NAIROBI: Kijana Mkenya ahimiza wenzake kuendelea kuandamana, wakati akisubiri kupelekwa hospitali na ambulensi, mara tu baada ya kuumia. Pia, soma: LIVE: Yanayojiri Maandamano Kenya kupinga Mswada wa Sheria ya Fedha Your browser is not able to display this video.
Ikaria Member Joined Jul 17, 2019 Posts 93 Reaction score 238 Jun 20, 2024 Thread starter #2 Mama akiwasaidia waandamanaji kupunguza makali ya mabomu ya kutoa machozi, kwa kutumia maji kati kati ya Jiji la Nairobi. Attachments 20240620_150605.jpg 150.6 KB · Views: 6
Mama akiwasaidia waandamanaji kupunguza makali ya mabomu ya kutoa machozi, kwa kutumia maji kati kati ya Jiji la Nairobi.
M mihambope JF-Expert Member Joined Jul 3, 2023 Posts 655 Reaction score 882 Jun 20, 2024 #3 Ikaria said: NAIROBI: Kijana Mkenya ahimiza wenzake kuendelea kuandamana, wakati akisubiri kupelekwa hospitali na ambulensi, mara tu baada ya kuumia. Pia, soma: LIVE: Yanayojiri Maandamano Kenya kupinga Mswada wa Sheria ya Fedha View attachment 3021426 Click to expand... huo ujinga sifanyi unaumia wenzio wanakuangalia kwenye video??hapana
Ikaria said: NAIROBI: Kijana Mkenya ahimiza wenzake kuendelea kuandamana, wakati akisubiri kupelekwa hospitali na ambulensi, mara tu baada ya kuumia. Pia, soma: LIVE: Yanayojiri Maandamano Kenya kupinga Mswada wa Sheria ya Fedha View attachment 3021426 Click to expand... huo ujinga sifanyi unaumia wenzio wanakuangalia kwenye video??hapana
Ikaria Member Joined Jul 17, 2019 Posts 93 Reaction score 238 Jun 20, 2024 Thread starter #4 mihambope said: huo ujinga sifanyi unaumia wenzio wanakuangalia kwenye video??hapana Click to expand... Ndio maana wewe ni Mtanzania, sio Mkenya.
mihambope said: huo ujinga sifanyi unaumia wenzio wanakuangalia kwenye video??hapana Click to expand... Ndio maana wewe ni Mtanzania, sio Mkenya.