Video: Kijana Mkenya atusua kwa kutengeneza vitanda vya hospitali

Video: Kijana Mkenya atusua kwa kutengeneza vitanda vya hospitali

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Huu ndio mwendo, vijana Wakenya wanapambana sana, inatia moyo kuona kizazi cha kesho kipo kimejiandaa kuipeleka hii nchi kunakostahili.

Ifahamike sasa hivi tumepata soko hadi DRC, wanakuja kuagiza PPE tunazotengeneza viwandani.

 
[emoji23][emoji23][emoji23] daah mi mwenyewe nilijua we ukiwepo kumbe unasifia mwenzako
 
Nimeona PPE ikabidi nicheke

Corona iliyotabiriwa itatuua kama flies leo ndio inawanyorosha kisawasawa, karma is a bitch na bado

Mambo ya PPE tulishayasahau na kiwanda kilishafungwa 😅😅😅
 
[emoji23][emoji23][emoji23] daah mi mwenyewe nilijua we ukiwepo kumbe unasifia mwenzako

Yeah, ni kijana anafanya makubwa ya kusifiwa, Kenya inapata soko la PPE hadi DRC sasa.
 
Nilidhani video ingeonyesha jinsi ya ku-detach hiyo meza, ku-adjust ili mgonjwa aweze kulala etc.!
 
Back
Top Bottom