Hapo huyo mpumbavu anataka uchiii tuuItakuwa ni mchepuko wake
Nimefurahi sana kumuona Mzee wa Msoga akiwa na afya tele na Nuru , Allaah amuhifadhi ampe umri mrefu Wenye manufaa AamiynWakati wa Jiwe mbona hakujiachiaga hivi?
Nilikuwaga namkubsli sana kabla MO29Nimefurahi kumuona Mzee wa Msoga Allaah amuhifadhi ampe umri mrefu Wenye manufaa Aamiyn
Kweli anampigia chapuo tu. A structural engineer (sio an architect) ndiye hasa anayeweza kutathimini fitness ya foundation!Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete akitoa sifa za Dkt. Fatma mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati akizindua jengo la Taaluma na Utawala, pamoja na Bweni la Wanafunzi wa Taasisi ya Sayansi za Bahari (IMS) ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Januari 08, 2026, Buyu, Zanzibar.
Ana familia yake kwenye meza inayogawanywa cake ya Taifa.Mzee amegoma kustaafu kabisa.