Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Shetani hajawahi kumshinda MunguWamezuia mpaka wamechoka au akili zimewarudia?
Tulishasema hiki ni zaidi ya Chama cha siasaKama ilivyo ada , ile Taasisi bora ya Vijana barani Africa inayoitwa BAVICHA ambayo imechukua jukumu la kuongoza makongamano ya Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi nchini Tanzania kwa gharama yoyote , imefika Jimbo la Mwibara na kuendesha kwa mafanikio kongamano kabambe la Katiba mpya .
Ushahidi huu hapa
View attachment 1972464
Naona dalili ni njema. Watanuna wale wavimba macho😅😅Hivi Karibuni Mama atatoa Baraka mchakato uendelee, walikuwa wakimpotosha, kwa weledi wake hafungamani na dhuluma.
Hii ndio nchi tuitakayo. Kila mtu afanye mambo yake bila kuvunja sheria za nchi na za watu wengineKuna UVCCM mmoja nimemuona anacheza huku katabasamu kweli kweli...yajayo yanafurahisha🤣
Kazi ya mapolisi ni KULINDA BENKI na KUCHEZA GWARIDE, basi. Mengine mnawaonea bure tu.Hawasumbui tena hao Mana washajua kinachojadiliwa pale polisi kwa viwango vyao vya ufaulu as per Simbachawene ni ngumu kumeza.
Ninakubali hilo la "atatoa Baraka mchakato uendelee", maana hakuna namna.Hivi Karibuni Mama atatoa Baraka mchakato uendelee, walikuwa wakimpotosha, kwa weledi wake hafungamani na dhuluma.
HakikaKazi ya mapolisi ni KULINDA BENKI na KUCHEZA GWARIDE, basi. Mengine mnawaonea bure tu.
umemsitukia haraka sana !Ninakubali hilo la "atatoa Baraka mchakato uendelee", maana hakuna namna.
Hilo la "kupotoshwa" nadhani unatafuta kumsitiri tu yeye kwa sababu zako mwenyewe.
Kama ilivyo ada , ile Taasisi bora ya Vijana barani Africa inayoitwa BAVICHA ambayo imechukua jukumu la kuongoza makongamano ya Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi nchini Tanzania kwa gharama yoyote , imefika Jimbo la Mwibara na kuendesha kwa mafanikio kongamano kabambe la Katiba mpya .
Ushahidi huu hapa
View attachment 1972464
😅😅Kazi ya mapolisi ni KULINDA BENKI na KUCHEZA GWARIDE, basi. Mengine mnawaonea bure tu.