naona kama wanaimba na kucheza tu, sioni kongamano lolote labda macho yangu yanahitaji miwani zaidi.Kama ilivyo ada , ile Taasisi bora ya Vijana barani Africa inayoitwa BAVICHA ambayo imechukua jukumu la kuongoza makongamano ya Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi nchini Tanzania kwa gharama yoyote , imefika Jimbo la Mwibara na kuendesha kwa mafanikio kongamano kabambe la Katiba mpya .
Ushahidi huu hapa
View attachment 1972464
Mkuu umewahi kuwa polisi ?Msituharibie Jimbo Letu na kutuletea fujo nendeni kwenu Moshi mkafanye fujo huko
Ndio huko huko Polisi wa zamani asiyejua PGOMwibara ndio mbunge alikuwa kangi lugora?
Hahahahaha maisha hayaaa, yule jamaaa alikuwa na mbwembwe jamani.Ndio huko huko Polisi wa zamani asiyejua PGO