Video: Kuna utambulisho wa Mchezaji Simba leo saa 9:00 alasiri

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Please please naomba iwe ni Manzoki kwa kweli naomba iwe hivyo ,huyo mzungu hata kama ni mkali itamchukua muda sana kuendana na ujinga wetu wa ki afrika
please naomba iwe manzokiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
ila kila nikiangalia vizuri naona vinyweleo vya kizungu
 
Kama kasajiliwa asitambulishwe? Hakuna mchezaji anayetambulishwa zaidi ya Mserbia.
 
Mzungu tunaenda kumlogea kigogo tu hapo wala hatuendi mkoani...hii ligi aijawahi kudumu na mzungu hata mmoja.
 
Please please naomba iwe ni Manzoki kwa kweli naomba iwe hivyo ,huyo mzungu hata kama ni mkali itamchukua muda sana kuendana na ujinga wetu wa ki afrika
please naomba iwe manzokiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
ila kila nikiangalia vizuri naona vinyweleo vya kizungu

Nasubiri asiwe Ceaser Lobi Manzoki ninayemtaka na ambaye hata 99.999% ya wana Simba SC wanamtaka Ili Leo 'nikinukishe' na 'nikisanue' zaidi ya Kuyahusu Simba SC kuliko Machache ya Jana.
 
Ahmed Ally kasema ni mchezaji tuliyekua tunamsubiri na kumuwaza kwa hamu kubwa, yupo kambini tayar na jezi mpya imempendeza

Anasubiri kuwekwa wazi tyuuh. Sasa tusubiri ndo kweli Manzoki au laah.
Km sio Manzoki watu watatuudhi khaaah.
 
Au Merquesone?
 
kiukweli tunahitaji striker mrefu mwenye kasi jamani, manzoki fits the bill
 
Huyu mzungu msiyemtaka anaweza kuja kukiwasha watu msiamini, japo naamini Manzoki it's a matter of time.
 
shida ni kwamba wanalogeka kirahisi mnooooo, kama Tores alivyologwa na Drogba
😂😂😂 wakikutana na miba za wakongwe akina john boko. Wanatepeta mapema😂😂😂. Kashindwa mkongo mugalu ataweza mzungu?😂😂😂
 
ni mzungu aiseee, watamloga huyuu hatakuwa anaona goli kabisaaa
 
Nasubiri asiwe Ceaser Lobi Manzoki ninayemtaka na ambaye hata 99.999% ya wana Simba SC wanamtaka Ili Leo 'nikinukishe' na 'nikisanue' zaidi ya Kuyahusu Simba SC kuliko Machache ya Jana.
Usiyemtaka kaja

Anza kunya barabarani kuanzia kariakoo mpaka stend ya magu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] wakikutana na miba za wakongwe akina john boko. Wanatepeta mapema[emoji23][emoji23][emoji23]. Kashindwa mkongo mugalu ataweza mzungu?[emoji23][emoji23][emoji23]
Wamewaloga biongozi Ili wanzoki asije [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wasubiri dirisha dogo wakati atakuwa Hana timu

[emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
Back
Top Bottom