njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Kama kasajiliwa asitambulishwe? Hakuna mchezaji anayetambulishwa zaidi ya Mserbia.Please please naomba iwe ni Manzoki kwa kweli naomba iwe hivyo ,huyo mzungu hata kama ni mkali itamchukua muda sana kuendana na ujinga wetu wa ki afrika
please naomba iwe manzokiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
ila kila nikiangalia vizuri naona vinyweleo vya kizungu
agh kama mserbia basi bana itabidi tukubali kishingo upande na kuomba kiyombo asaidiane na phiri tu, huyu mzungu akipigwa misumari hata ya waganga class ya chini hawezi dumu kabisaTusubiri.
Nasubiri asiwe Ceaser Lobi Manzoki ninayemtaka na ambaye hata 99.999% ya wana Simba SC wanamtaka Ili Leo 'nikinukishe' na 'nikisanue' zaidi ya Kuyahusu Simba SC kuliko Machache ya Jana.Please please naomba iwe ni Manzoki kwa kweli naomba iwe hivyo ,huyo mzungu hata kama ni mkali itamchukua muda sana kuendana na ujinga wetu wa ki afrika
please naomba iwe manzokiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
ila kila nikiangalia vizuri naona vinyweleo vya kizungu
Au Merquesone?Ahmed Ally kasema ni mchezaji tuliyekua tunamsubiri na kumuwaza kwa hamu kubwa, yupo kambini tayar na jezi mpya imempendeza
Anasubiri kuwekwa wazi tyuuh. Sasa tusubiri ndo kweli Manzoki au laah.
Km sio Manzoki watu watatuudhi khaaah.
kiukweli tunahitaji striker mrefu mwenye kasi jamani, manzoki fits the billAhmed Ally kasema ni mchezaji tuliyekua tunamsubiri na kumuwaza kwa hamu kubwa, yupo kambini tayar na jezi mpya imempendeza
Anasubiri kuwekwa wazi tyuuh. Sasa tusubiri ndo kweli Manzoki au laah.
Km sio Manzoki watu watatuudhi khaaah.
konde boy wa nini tena kwa sasa? okrah, sakho, banda,okwa ......konde mkali lakini tatizo liko pale kati tena striker awe mrefu na mwenye kasiAu Merquesone?
shida ni kwamba wanalogeka kirahisi mnooooo, kama Tores alivyologwa na DrogbaHuyu mzungu msiyemtaka anaweza kuja kukiwasha watu msiamini, japo naamini Manzoki it's a matter of time.
duh.!!shida ni kwamba wanalogeka kirahisi mnooooo, kama Tores alivyologwa na Drogba
πππ wakikutana na miba za wakongwe akina john boko. Wanatepeta mapemaπππ. Kashindwa mkongo mugalu ataweza mzungu?πππshida ni kwamba wanalogeka kirahisi mnooooo, kama Tores alivyologwa na Drogba
Usiyemtaka kajaNasubiri asiwe Ceaser Lobi Manzoki ninayemtaka na ambaye hata 99.999% ya wana Simba SC wanamtaka Ili Leo 'nikinukishe' na 'nikisanue' zaidi ya Kuyahusu Simba SC kuliko Machache ya Jana.
Wamewaloga biongozi Ili wanzoki asije [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wakikutana na miba za wakongwe akina john boko. Wanatepeta mapema[emoji23][emoji23][emoji23]. Kashindwa mkongo mugalu ataweza mzungu?[emoji23][emoji23][emoji23]