Video: Kura za maoni za CCM tutegemee mambo haya kutokea tena

Video: Kura za maoni za CCM tutegemee mambo haya kutokea tena

LOOoooh, imekuwa hivi tena?

Chama madhubuti alichokiasisi na kukijenga kuwa imara Mwalimu kiwatumikie wananchi leo hii ndio kimekuwa hivi?

Hawa watu wanasaka kuwatumikia wananchi, au kuna maslahi mengine wanayoyasaka kwa kila njia yoyote halali au vinginevyo?
 
kama Mwakyembe hata pata nafasi yoyote kipindi hichi ktk serikali basi Five year survival rate yake haizidi 50%
viongozi weusi huwa wanakufa ghafla kwa presha wakikosa uteuzi na kupoteza itifaki, ni vizuri Makyembe awahi kurudi kufundisha chuo gani sijui , kuna mahali nilisoma wakasema Makyembe ni mhadhiri!!
 
Ni nani huyo ameleta fujo ? Inaelekea ni kiongozi mpaka walinzi wanamsihi asiendelee kuleta fujo .

Pembeni kuna dada nae wameshikilia asifurukute
🙆🏿‍♂️
 
Ni nani huyo ameleta fujo ? Inaelekea ni kiongozi mpaka walinzi wanamsihi asiendelee kuleta fujo .

Pembeni kuna dada nae wameshikilia asifurukute
🙆🏿‍♂️
😆😆😆 ccm imekufa kitambo sana , ila inashikiliwa na kiuzi chembamba sana kiitwacho polisi
 
Back
Top Bottom