CUF walionyesha ungangari dhidi ya CCM tangu uchaguzi wa 1995 bila ya kupata sapoti ya Chadema na vyama vingine, sasa wamekubali yaishe!!! Kwani hawataki damu ya Mzanzibari imwagige tena wala kuwa na wakimbizi nje yanchi "enough is enough"!!!!!!! Wazanzibari ni wamoja na ni ndugu hivyo maslahi ya nchi kwanza dhidi ya vyama vya siasa!!!
Jee, Chadema ndio kusema sasa munarithi ungangari wa CUF? Na ikiwa CUF imewachukua miongo 3 kutambua kosa lao la kuweka UCUF mbele badala ya utaifa, chadema itawachukua miaka mingapi????