Video kutoka maktaba: Baba Askofu Josephati Gwajima akimfufua mwanafunzi aliyefariki dunia ghafla

Enendeni mkawaambie wana wa Kawe ; Wafu wanafufuka, viwete wanatembea, vipofu wanaona!
Hapa baba Askofu alimfufua mfu once upon a time!
View attachment 1544787
Angezikwa kaburini,akaanza kuoza kama Lazaro au kungekuwa na taarifa ya Daktari ningeamini.The Devil can do anything.After all hii inaweza kuwa maigizo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…