Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Na iweke vizuri sana!!! Labda muibe kura ila kumbukeni wizi sasa BAAASI!!!Hii komenti yako tunaiweka maktaba
Mimi siwezi kumpa ila hiyo ya kusema akishinda unajitoa Jf mkuu ni ahadi kubwa mnoNa iweke vizuri sana!!! Labda muibe kura ila kumbukeni wizi sasa BAAASI!!!
Kwa akili yako tu ya kuzaliwa wewe mwenyewe, unaweza kumpa kura yako Gwajima mfufua wafu????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Atabadili IdMimi siwezi kumpa ila hiyo ya kusema akishinda unajitoa Jf mkuu ni ahadi kubwa mno
Hahahaha sasa ndo uelewe Kwa nini nimesema ivo!!!Mimi siwezi kumpa ila hiyo ya kusema akishinda unajitoa Jf mkuu ni ahadi kubwa mno
Unatufunga kambaHahahaha sasa ndo uelewe Kwa nini nimesema ivo!!!
πππ huyu jamaa ni tapeli wa kiwango cha SGRWafu wanafufuka sema ameeeen
Unamaanisha Nini hapa?Kile kilikuwa kiini macho mbona mkuu!
Yaani CCM mnazidi kupoteza dira SHAME ON YOUEnendeni mkawaambie wana wa Kawe ; Wafu wanafufuka, viwete wanatembea, vipofu wanaona!
Hapa baba Askofu alimfufua mfu once upon a time!
View attachment 1544787