guwe_la_manga
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 2,820
- 2,758
Ubunge wa Kawe ni wa Gwajiboy...Enendeni mkawaambie wana wa Kawe ; Wafu wanafufuka, viwete wanatembea, vipofu wanaona!
Hapa baba Askofu alimfufua mfu once upon a time!
View attachment 1544787
Yes,atakufufua na weweGwaji mfufua wafu
Kwani nani anajali ukibakia au kuondoka,πππππππ Ila Gwajima tapeli!!!
Huyu ndo apewe kura za wanakawe????? Najitoa JF πππππ
Enendeni mkawaambie wana wa Kawe ; Wafu wanafufuka, viwete wanatembea, vipofu wanaona!
Hapa baba Askofu alimfufua mfu once upon a time!
View attachment 1544787
Alishindwa vipi kumfufua mama yake mzazi?
Lakini akashindwa kufufua wale watoto wawili waliokufa kanisani kwake Kwa kunaswa umeme.Enendeni mkawaambie wana wa Kawe ; Wafu wanafufuka, viwete wanatembea, vipofu wanaona!
Hapa baba Askofu alimfufua mfu once upon a time!
View attachment 1544787