Tuta Absoluta Kantangaze
Member
- Nov 2, 2023
- 83
- 251
Kuna viongozi wa Serikali wanaiiharibu sana hii team kiasi kwamba wote tunaonekana hatuna akili. Wote tunaonekana vilaza. Tufanyeni mambo kisomi. Huu upumbavu hautatusaidia hata kidogo. Ni mambo ya kipuuzi. Na msitake kuleta madeko na hatimaye kuja iharibu Ligi yetu kipuuzi tu.