Video: Kwa hizi makeups hakikisha ananawa uso kwanza

Video: Kwa hizi makeups hakikisha ananawa uso kwanza

Duuh hahah nashangaa wanaosema mzuri kabla ya makeups sijui ni mimi ndo naona kengeza au nyie ndio macho yenu mabovu any way ukijichanganya unakula kikongwe ukizani kigoli
Umesababisha nimeenda kuangalia video bila kupenda. Watakuwa Wana ugonjwa wa macho Hawa vijana[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom