OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Nimeamini mtu mwenye njaa ni mtu kwenye hasira
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe ujaangalia mpira ndo maana unaongea hivyo kakolanya anusikaje kwenye kufungwa yanga.Yanga alivyoruhusu kuanza kufungwa kwenye ligi nahisi ndio mwisho wake.Yanga ni timu mbovu sana ila upepo wa ushindi uliibeba sana hii timu.siioni yanga ikishika hata nafasi ya tatu kwenye TPL. Baada ya muda mfupi ujao tutaanza kuona downfalls za Zahera,strength za kakolanya na wachezaji waliokua wanajitolea wakidai mishahara yao.
Sent using Jamii Forums mobile app
A hungry man is an angry man
Nimeamini mtu mwenye njaa ni mtu kwenye hasira
Mkuu kwani lile bakuli halikujazwa?Yanga kuna muda unawahurumia tu, wachezaji wao hata sabuni za kuogea hawana wanakomaa kufuga nywele.
Nimeamini mtu mwenye njaa ni mtu kwenye hasira
Nimeamini mtu mwenye njaa ni mtu kwenye hasira