Video:Kwa hizi ngumi walizopiga Yanga hatua gani zinaweza kuchukuliwa

Yanga alivyoruhusu kuanza kufungwa kwenye ligi nahisi ndio mwisho wake.Yanga ni timu mbovu sana ila upepo wa ushindi uliibeba sana hii timu.siioni yanga ikishika hata nafasi ya tatu kwenye TPL. Baada ya muda mfupi ujao tutaanza kuona downfalls za Zahera,strength za kakolanya na wachezaji waliokua wanajitolea wakidai mishahara yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wewe ujaangalia mpira ndo maana unaongea hivyo kakolanya anusikaje kwenye kufungwa yanga.
 
wamesha zoey kubebwa bebwa k ukwel watapat tabusana
 
Ningekuwepo uwanjani ningewachapa mateke ya makalio hao yanga wamenikela mno
 
Bikra haijapona Kariobangi wakapiga vitatu.Ikabidi warushe ngumi kidonda kimewauma alaaah.Unafanya mchezo.Engineer pima hiyooo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…