Nimekutana na video hii huko youtube ikionesha msanii wa bongo movie aitwae Nisha ambaye hivi karibuni kunataarifa kwamba ni mjamzito(mama kijacho)akiwa jukwani akiruka sarakasi na kuchana misamba bila kujari hari yake hiyo kitu ambacho ni hatari!video [emoji116] [emoji116]