The unpaid Seller
JF-Expert Member
- Oct 27, 2019
- 2,360
- 6,922
nakubaliana na weweKitambi kiendane na mazoezi
Enzi hizo smartphone hazikuwepo bongoKitambi umepaka rangi sana, sayansi darasa la tatu tulifundishwa hiyo kitu ina itwa kiriba Tumbo🚮
Uzembe wakwanza kwenye maisha ni kumiliki kiriba tumbo bwasheeSa
Enzi hizo smartphone hazikuwepo bongo
😅Watanzania wengi wanaamini mwanaume akiwa na kitambi ni dalili za kufanikiwa
Kumbe mtu kajaza mimavi tumboni uvivu wa kunya tu
Na mnaoongoza kuwa navyo ni wanywajiUzembe wakwanza kwenye maisha ni kumiliki kiriba tumbo bwashee
Wanywaji wazembe wasio jua kuzingatia code😁Na mnaoongoza kuwa navyo ni wanywaji
unakuta mtu kabenjuka mgongo ili kiriba-tumbo kipate pa kuvimbia..Uzembe wakwanza kwenye maisha ni kumiliki kiriba tumbo bwashee
Inabidi wajifunze code bwasheeWanywaji wazembe wasio jua kuzingatia code😁
Mtu anabugia masafari na supu ya mchemsho asubuhi bila mazoezi ya nguvu, kumiliki kiriba tumbo ni fastaInabidi wajifunze code bwashee
oya unawakekeli vibonge mkuuKitambi umepaka rangi sana, sayansi darasa la tatu tulifundishwa hiyo kitu ina itwa kiriba Tumbo🚮
Yani ni ulafi wa hali ya juu sana , kukiwa na njaa kidogo halikosi kula hata watuunakuta mtu kabenjuka mgongo ili kiriba-tumbo kipate pa kuvimbia..
🤣🤣🤣🤣🤣Hivi nini huwa inakusumbua lakini?Kitambi umepaka rangi sana, sayansi darasa la tatu tulifundishwa hiyo kitu ina itwa kiriba Tumbo🚮
Nimesema uongo?oya unawakekeli vibonge mkuu
😅 ukweli wa mambo wakwetu🤣🤣🤣🤣🤣Hivi nini huwa inakusumbua lakini?
Bia mchemsho na nguruwe, unavimba kama puto bwasheeAseeh sidhani km ntakuja pata kitambi, wenye vitambi wapo kwenye mwendokasi