The unpaid Seller
JF-Expert Member
- Oct 27, 2019
- 2,360
- 6,922
- Thread starter
-
- #21
hakika mkuu na wengi wanadhani ufahari ukiwaambia kula kula ovyo sio vizuri wanaona unawaonea wivu masupu yao ya utumboMtu anabugia masafari na supu ya mchemsho asubuhi bila mazoezi ya nguvu, kumiliki kiriba tumbo ni fasta
kwanini usipate kitambi mkuu, kwamba jamaa alivyoelezea wewe haupo katika life style aliyoitaja, au una mbinu binafsiAseeh sidhani km ntakuja pata kitambi, wenye vitambi wapo kwenye mwendokasi
oya kwamba akinya sana kitambi kitayeyuka ?!Watanzania wengi wanaamini mwanaume akiwa na kitambi ni dalili za kufanikiwa
Kumbe mtu kajaza mimavi tumboni uvivu wa kunya tu
Hasa ugali , mtu anakula ugali mlima na mboga kiduchu cc Evelyn Salthakika mkuu na wengi wanadhani ufahari ukiwaambia kula kula ovyo sio vizuri wanaona unawaonea wivu masupu yao ya utumbo
lakini jamaa kwenye video clip hajataja ulevi kama chanzo chakitambiNa mnaoongoza kuwa navyo ni wanywaji
Mwili wangu hauna mafuta mengi mkuukwanini usipate kitambi mkuu, kwamba jamaa alivyoelezea wewe haupo katika life style aliyoitaja, au una mbinu binafsi
ugali wanga nyingi alafu protein kiduchu vinyama viwili hapo kitambi ni garanted kazima kifutukeHasa ugali , mtu anakula ugali mlima na mboga kiduchu cc Evelyn Salt
Je unakula wanga nyingi kama alivyobainisha mwamba kwenye clipMwili wangu hauna mafuta mengi mkuu
Nadhani kuna kitu haujaelewa, angalia alichokisema jamaaMwili wangu hauna mafuta mengi mkuu
Unacho🤣🤣🤣🤣🤣Hivi nini huwa inakusumbua lakini?