LGE2024 Video Kyela: Mgombea CHADEMA amtumia mtoto wake mdogo kuomba kura. Je, kaona maji ya shingo?

LGE2024 Video Kyela: Mgombea CHADEMA amtumia mtoto wake mdogo kuomba kura. Je, kaona maji ya shingo?

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
896
Reaction score
1,427
Moja ya mgombea Kyela Mbeya kupitia chama cha Demokrasia na maendeleo CHEDEMA amemuomba mtoto wake amsaidie kuomba kura kwa wananchi wakati wa kampeni.


 
Kwakweli chadema imekwisha kabisa!!
Nadhani baada ya uchaguzi huu Mbowe lazima atajiuzulu uenyekiti.
 
Huku ni kuishiwa... Kwani ni uchaguzi wa kuongoza familia huu? Hakuna makada wa chama chake wa kuelezea sera?
 
Huku ni kuishiwa... Kwani ni uchaguzi wa kuongoza familia huu? Hakuna makada wa chama chake wa kuelezea sera?

..Mbona Mwenyekiti wenu kamteua mume wa binti yake / mkaza mwana kusimamia uchaguzi wote?
 
Nimepatwa na uchungu kuona hii video. Kuna wengine hapo huyo dogo kawaliza itazame vizuri.

..nimeguswa na hali ya maisha ya watu wa hicho kijiji. Sasa hebu fikiria mgombea kama huyo anaweza kushinda halafu Ccm wakamdhulumu ushindi wake. Au fikiria kuna wagombea wangapi watu wa chini wamedhulumiwa nafasi ya kugombea kwasababu wako upinzani. Wakati huohuo Mama yuko mjini anakula raha na familia yake kwa kuuza mali za Watanganyika.
 
Hiyo familia inaonekena ina upendo sana

MUNGU aibaliki sana

BABA anaonekana yuko karibu sana binti yake

Wabalikiwe sana
 
Back
Top Bottom