PreGE2025 Video: Lembruce Mchome aibukia mkutano wa CHAUMMA Ubungo Plaza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hii comment yako nitaitunza Kwenye kumbukumbu zangu
Umemaliza kilakitu
 
Huku anaandika barua kwa msajili kuhusu CHADEMA huku anahamia CHAUMA!
 
Kwa nini alimwambia msajili Mutungi atengue wajumbe wa kamati kuu ya CHADEMA wakati alikuwa anaondoka?
Hata Salumu Mwalimu na mwenzake wa Zanzibar wamefungua kesi dhidi ya Chadema! Wanataka kuiua Chadema ili wao waendelee kunufaika na pesa za mabwana wao.

Vv
 
Usaliti unalipa nchi hii, ghafla kuishi Masaki na ulinzi juu - aisee.
 
Siku hizi kila mtu anaangalia maslai yake tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…