Mipaka ya Kenya na Uganda imefunguliwa kiasi kwamba tunahusiana bila kuwekeana vikwazo vya kijinga. Hii imewavutia hata Watanzania kuja kunufaika na huu uhuru.
Leo hii ukiingia au kutoka Kenya/Uganda/Rwanda kama unatokea kwenye mojawapo wa hizo nchi, huna wa kukuzingua ilmradi una kitambulisho cha nchi yako unakotoka.
So that one incidence makes Kenya business friendly? How about fastjet application to start across local routes? Or Tanzania sugar accessing Kenyan market?