#COVID19 Video: Maelezo ya kina ya Daktari wa Tiba za asili juu ya Chanjo ya Corona. Je, kuna ukweli wowote?

#COVID19 Video: Maelezo ya kina ya Daktari wa Tiba za asili juu ya Chanjo ya Corona. Je, kuna ukweli wowote?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970
Huyu ni daktari mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 50 katika nyanja ya tiba za asili, na haya ni mawazo yake juu ya chanjo ya Corona. Kwakuwa kila mtu ana uhuru wa maoni, basi naomba tumsikiliza ana nini cha kutueleza. Video ipo chini

Na vipi, unaweza kujibu hoja zake?
Kama ulivyosema kwamba ni mawazo ya huyo dokta vilevile kusema kuwa ni Gwajima aliyechangamka ni mawazo pia ya mtu, je ni vipi huyo dokta anaweza kujibu au wewe kujibu hoja kuwa yeye sio Gwajima aliyechangamka!!!
 
Mkuu umemaliza mjadala...mawazo ya kila mtu yaheshimiwe🤣
 
Hivi kwenye hili tunachohitaji ni maoni au utafiti na majibu ya kisayansi yasiyo pasi na shaka....

Ingawa sijaangalia hio clip hivyo ninajibu tu hoja kwamba maoni ya kila mmoja yaheshimiwe...
 
Sijui kwanini wanaohoji na kudadisi sana kuhusu hizi chanjo wanaonekana wajinga [emoji848]
Hata humu kuna nyuzi zenye kudadisi sana zinafutwa

Ni MUNGU pekee atatetea hili
Lazima iwe hivyo kwasababu nchi imeishiwa viongozi wenye weledi na maamuzi thabiti dhidi ya nchi na wananchi.waliopo ni watu tu waliobahatika kupata fursa za kuongoza ila uwezo wao ni mdogo ndo maana unaona hili la corona kila mtu anaongea lake itategemea mkubwa ana mtazamo gani.
 
Kama ulivyosema kwamba ni mawazo ya huyo dokta vilevile kusema kuwa ni Gwajima aliyechangamka ni mawazo pia ya mtu, je ni vipi huyo dokta anaweza kujibu au wewe kujibu hoja kuwa yeye sio Gwajima aliyechangamka!!!
Unaweza pengine ukajibu hoja zake?
 
Hivi kwenye hili tunachohitaji ni maoni au utafiti na majibu ya kisayansi yasiyo pasi na shaka....

Ingawa sijaangalia hio clip hivyo ninajibu tu hoja kwamba maoni ya kila mmoja yaheshimiwe...
Unaonaje ukajibu hoja zake
 
Unaweza pengine ukajibu hoja zake?
Kwa mawazo yangu ninaweza ndiyo, na hoja zake zote jibu ni kwamba chanjo bado ni hiari, hivyo bado kila mtu ana muda wa kuamua juu ya chanjo, ikifika muda chanjo ni lazima tutaangalia faida na madhara, kama zina madhara na ni lazima kuchoma tutachoma na kama zina madhara ila sio lazima hatutachoma.
 
Back
Top Bottom