FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Na vipi, unaweza kujibu hoja zake?Huyo ni Gwajima aliyechangamka🤣🐒
Kama ulivyosema kwamba ni mawazo ya huyo dokta vilevile kusema kuwa ni Gwajima aliyechangamka ni mawazo pia ya mtu, je ni vipi huyo dokta anaweza kujibu au wewe kujibu hoja kuwa yeye sio Gwajima aliyechangamka!!!Na vipi, unaweza kujibu hoja zake?
Sijui kwanini wanaohoji na kudadisi sana kuhusu hizi chanjo wanaonekana wajinga 🤔Huyo ni Gwajima aliyechangamka🤣🐒
Mkuu umemaliza mjadala...mawazo ya kila mtu yaheshimiwe🤣Kama ulivyosema kwamba ni mawazo ya huyo dokta vilevile kusema kuwa ni Gwajima aliyechangamka ni mawazo pia ya mtu, je ni vipi huyo dokta anaweza kujibu au wewe kujibu hoja kuwa yeye sio Gwajima aliyechangamka!!!
Lazima iwe hivyo kwasababu nchi imeishiwa viongozi wenye weledi na maamuzi thabiti dhidi ya nchi na wananchi.waliopo ni watu tu waliobahatika kupata fursa za kuongoza ila uwezo wao ni mdogo ndo maana unaona hili la corona kila mtu anaongea lake itategemea mkubwa ana mtazamo gani.Sijui kwanini wanaohoji na kudadisi sana kuhusu hizi chanjo wanaonekana wajinga [emoji848]
Hata humu kuna nyuzi zenye kudadisi sana zinafutwa
Ni MUNGU pekee atatetea hili
Unaweza pengine ukajibu hoja zake?Kama ulivyosema kwamba ni mawazo ya huyo dokta vilevile kusema kuwa ni Gwajima aliyechangamka ni mawazo pia ya mtu, je ni vipi huyo dokta anaweza kujibu au wewe kujibu hoja kuwa yeye sio Gwajima aliyechangamka!!!
siku zote mganga wa kienyeji lazima ayapige zengwe na fitna matibabu ya hospitalin
Ni ajabu sana, wenye kudadisi hawajibiwi kwa hoja wanajibiwa kwa vijembeSijui kwanini wanaohoji na kudadisi sana kuhusu hizi chanjo wanaonekana wajinga 🤔
Unaonaje ukajibu hoja zakeHivi kwenye hili tunachohitaji ni maoni au utafiti na majibu ya kisayansi yasiyo pasi na shaka....
Ingawa sijaangalia hio clip hivyo ninajibu tu hoja kwamba maoni ya kila mmoja yaheshimiwe...
Kuna watu wanagonga msumari wa moto kwenye kidonda, wanaonekana ni threat, lakini ni muhimu kutambua uwepo wa Mungu in advanceHata humu kuna nyuzi zenye kudadisi sana zinafutwa
Inashangaza sana, watu wanaacha kujibu hoja wanaishia kumkejeli mtoa hojaNi ajabu sana, wenye kudadisi hawajibiwi kwa hoja wanajibiwa kwa vijembe
Kwa mawazo yangu ninaweza ndiyo, na hoja zake zote jibu ni kwamba chanjo bado ni hiari, hivyo bado kila mtu ana muda wa kuamua juu ya chanjo, ikifika muda chanjo ni lazima tutaangalia faida na madhara, kama zina madhara na ni lazima kuchoma tutachoma na kama zina madhara ila sio lazima hatutachoma.Unaweza pengine ukajibu hoja zake?