Video: Magari Mapya ya Polisi Tayari Kukabiliana na Watakaojaribu Kuvuruga Uchaguzi wa Oktoba 2025

Video: Magari Mapya ya Polisi Tayari Kukabiliana na Watakaojaribu Kuvuruga Uchaguzi wa Oktoba 2025

Nilimsikia polisi mmoja uko dar
IMG_0202.png
 
Wataagiza mengine na siyo kuelekeza fedha kwenye matumizi yenye tija
Yani wanajigamba kabisa " Tayari Kukabiliana na Watakaojaribu Kuvuruga Uchaguzi wa Oktoba 2025" kweli evolution process ya watu weusi haijakamilika wakawa binadamu na hasa watanzania aisee.

Halafu wanajifanya wapo kiroho kuliko binadamu yeyote, kila baada ya sentensi wanataja mungu, yesu na allah, unafiki mtupu.
 
Ni mashetani tupu wamejificha kwenye dini
 
Ila trump kusema kakatisha madawa na misaada ya kijamii kama ujenzi wa vyoo.Heti bunge la tanzania limeitisha kikao cha dharura kupinga Rais Trump kwa nini kawa mkatili.
 
Nimesikia wakipongezana kwa ulinzi uliotukuka na waziri kuwa msemaje wa watanganyika wote kuwa tumefurahi na dunia imeona!

Yaani kaeneo ka Posta na Masaki tu?

Huu si ni mwaka wa 8 sasa wasiojulikana wanatamba, ulinzi upi huo wanaousema?

Na gharama ya hilo gari moja ni kiasi gani?
  • Manunuzi ya magari yote, zile pick up na hiyo midude myeusi, imepitia Bungeni?
  • Sheria za manunuzi zilifuatwa?
 
Back
Top Bottom