Mjanja M1 JF-Expert Member Joined Oct 7, 2018 Posts 4,058 Reaction score 14,382 Feb 2, 2024 #1 Kama ulikosa kuingalia mechi ya Inter Miami dhidi ya Al Nassr, basi hapa nimekusogezea video inayoonyesha magoli yote yaliyofungwa. Mechi hii ilizikutanisha timu za Miamba miwili ya Dunia Lionel Messi na Cristiano Ronaldo, japo Ronaldo hakucheza kutokana na majeraha yanayomsibu. View: https://youtu.be/ocWSgWiWX24?si=ZUd0OPYgirhvwfz9 Written by Mjanja M1 ✍️
Kama ulikosa kuingalia mechi ya Inter Miami dhidi ya Al Nassr, basi hapa nimekusogezea video inayoonyesha magoli yote yaliyofungwa. Mechi hii ilizikutanisha timu za Miamba miwili ya Dunia Lionel Messi na Cristiano Ronaldo, japo Ronaldo hakucheza kutokana na majeraha yanayomsibu. View: https://youtu.be/ocWSgWiWX24?si=ZUd0OPYgirhvwfz9 Written by Mjanja M1 ✍️