U uvivumwiko Member Joined Mar 22, 2010 Posts 20 Reaction score 1 Mar 24, 2010 #1 salaam ndugu wanajamii forums. Kipindi hiki cha pasaka video inayoonyesha maisha ya yesu ni muhimu sana kwa wakristo. Naomba msaada wa namna ya kuipata video ya namna hiyo. Natanguliza shukrani.
salaam ndugu wanajamii forums. Kipindi hiki cha pasaka video inayoonyesha maisha ya yesu ni muhimu sana kwa wakristo. Naomba msaada wa namna ya kuipata video ya namna hiyo. Natanguliza shukrani.
A Akili Kichwani JF-Expert Member Joined Jan 7, 2010 Posts 1,508 Reaction score 220 Mar 24, 2010 #2 google............
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,107 Reaction score 160,001 Mar 24, 2010 #3 Kwa wamachinga zipo kibao
Ngongo Platinum Member Joined Sep 20, 2008 Posts 20,654 Reaction score 35,887 Mar 24, 2010 #4 Bujibuji said: Kwa wamachinga zipo kibao Click to expand... Kweli mkuu wangu lakini inategemea anaishi maeneo gani yamkini yuko kijijini anataka kuwapa elimu wanakijiji wenzake.
Bujibuji said: Kwa wamachinga zipo kibao Click to expand... Kweli mkuu wangu lakini inategemea anaishi maeneo gani yamkini yuko kijijini anataka kuwapa elimu wanakijiji wenzake.