VIDEO: Mama yake Diamond Platnumz alimtembelea Hamisa Mobeto hospitalini

richaabra

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2016
Posts
1,472
Reaction score
3,511
Baada ya mda mrefu kuibuka maneno ya chini chini kuwa Mtoto aliyejifungua Hamissa mobeto ni wa Diamond Platnumz huku Mama Diamond na Diamond mwenyewe wakishindwa kukana tuhuma hizo

Siku ya jana Ijumaa kamera za shilawadu ziliwanasa live hospitalini Mama Diamond,Mama Rommy na Esmaplatnumz hospitalini wakitoka kumjulia hali Hamissa Mobeto




 
Diamond alishamkana kupitia Clouds FM.
Ila mbona hawajajificha hata na ushungi, kama hawakutaka watubwajue kuwa wameenda!?
Watajiju.. ndio maana Diamond ana post moja hivi juu ya urafiki.
 
Nimependa coverage ya hawa watt wanajitahidi kufika level za kina TMZ kiaina ila kuanika namba za gari ya mtu vile sio sahihii..watu tumekwishawaona inatosha!so sudy next time angalia hilo epusha usumbufu kwa mwenge gari.

Bytheway Zari mavi debe!
 
diamond anatawala sana muziki wa tanzania sio sababu anajua sana kuimba... bali maisha yake ni kama movie... anatumia hadi mama yake.. mtoto wake.. mke wake dada zake kutengeneza helaaa...

hiyo kiki hiyo ameitengeneza... yeye ndio kawaambia nendeni hospitali....

dogo ajaenda shule ana akili kuliko ma prof wa markerting...

ukitaka uwin kwenye music wa tanzania imba nyimbo nyepesi watoto kukariri.. cheza kwa style watoto wakariri haraka... kisha weka maisha ya umbea umbea wanawake wakujadili... hapo unatoboa
 
Docs za gari analomiliki Bashite alilopewa na watuhumiwa wa madawa ya kulevya uliziona na ulibisha sana,

Sasa hizi hata zikiletwa si utakuja na mapovu yale-yale??

Mapovu tena kivipi!?
Tatizo uliyemtaja simfahamu hivyo siwezi kukujibu
 
Ss mbona hawaonyeshi wakiwa wamepakata kitoto.
Kwenda hospitLi manake wameenda kumuona hamisa...
Hospitalini hawaruhusiwi kwenda ht km wanaumwa..au wana mgonjwa...
Wabongo bana...hii haitoshi kusema walienda kwa hamisa..
 
Kwani mtu akijufungua si watu huwa wanaenda kumuona kumpa hongera. Sasa what is so special kwa familia ya Diamond kwenda kumuona mwanamke aliyejifungua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…