Video: Marefa wasema Simba ilinyimwa goli dhidi ya Yanga

Yan mpaka leo mnaongelea tu ile mechi.? Haya pigrni filimbi mkaweke penalty sasa.
 
Marefa wa simba wanasema simba ilinyimwa goli hahahha haya nendeni kashtaki FIFA sasa
 
Nyambafu kabisa azamtv. Yaani unauliza makofi polisi? Othman & Mapunda si ni maminazi wa simba? Apo unategemea watasema nini? Tena hao azamtv waache kabisa kuonesha mechi za yanga
 
Mkuu.. Haijalishi ni mda gani umepita (hata kama ni miaka 50).. Ukweli lazima ujulikane na uwekwe wazi.
Hebu acha upuuzi, wenzio bado tupo Msongo was kutekwa Tajiri letu, nyie mnabishana upuuzi wenu usio na tija? Wachezaji wenyewe mnao wasifia so lolote so chochote.
 
Hebu acha upuuzi, wenzio bado tupo Msongo was kutekwa Tajiri letu, nyie mnabishana upuuzi wenu usio na tija? Wachezaji wenyewe mnao wasifia so lolote so chochote.
Sasa kama una msongo, umefuata nini huku?? Kwa sasa jambo lipo katika vyombo vya ulinzi na usalama wanalishughulikia.. Unataka sisi wanachama kindaki ndaki pamoja na mashabiki lia lia tufanyaje? Si jana tu tulivyokutana katika makao ya klabu tukamuombea kila siku tunafanya hili zoezi.. Unataka tufanye nini zaidi ya hili?

NB: "Mjomba anayelia sana msibani, mchunguze kwa umakini." - Mrisho Mpoto
 
Kwamba goli aliliofunga ajibu dhidi ya mbao akifunga kagere career yake ndo inaishia hapo maana spinal cord itakuwa kwenye hali mbaya
 
Huyu Kazi ni kiazi tu, hajui kabisa uchambuzi zaidi ya unazi tu
 
Huo ukweli utaenda kubadilisha matokeo sasa.?
Katika kesi za mauaji.. Muuaji hupewa adhabu ya either kifungo cha maisha au kunyongwa.. Adhabu hizo kwani humrudisha marehemu? Hilo hua ni funzo kwa wengine.

Katika gemu yetu.. Kukaa kimya dhidi ya refa hakusaidii kitu, but tunapopaza sauti kwa nguvu inasaidia kuondoa makosa kama hayo siku zijazo.

NB: Uganda 2-0 Lesotho (Okwi, Miya)... HT.
 
Kazakaza baba. Utatoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…