Video: Mashabiki wadai pesa zao baada ya alikiba kushindwa kufanya show Dodoma

SniperBoi

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2016
Posts
1,103
Reaction score
1,129

Mwanamuziki alikiba ashindwa kutumbuiza katika tamasha la muziki, Dodoma Disemba 25 baada ya kufika kwa kuchelewa akitokea Nairobi.
 
Msanii Wa Sony Music Global Deal, Wa Kimataifa
 
Kama haamini muda wake umekwisha basi mazingira yatamuaminisha
 
Haters mnajitahid sana kuleta mada za kumchafua but as usual the King will always put u on shame.
 
Kiba Hana mashabiki,isipokuwa wale wanaozichukia juhudi binafsi za diamondi ndio wanajidai vishabiki vyake.
Kwa ka ukumbi kama hako ka vikao vya harusi atakuwa amelipwa c juu ya million 2 mpaka 3 hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…