Video: Matokeo Ya Vipimo Vya Ukimwi Vya Rayvanny

MumbaZ

Senior Member
Joined
Jan 28, 2018
Posts
133
Reaction score
124
Baada ya Rayvanny msanii kutoka wasafi classic inayomilikiwa na Diamond Platinumz a.k.a Simba kupima HIV maambukizi ya virusi vya ukimwi na kuweka hadharani matokeo huku akiwasii wasanii wenzake wa Wasafi sanasana akionyesha msisitizo kwa Harmonize na Richmavoko. Rayvanny aachia video online instagram kuonyesha wafuasi wake kuwa mambo ni safi kabisa.

 
Mkumbushe aende kupima baada ya miezi 3,huenda yupo kwenye window period
 
Boss kama kapita kwa Lulu/Mobeto/Wema inabidi akapime fasta.
 
Kuwashauri wakapime ni vizuri ili wajijue, ila kuweka majibu hadharani ni uamuzi wao maana wana haki ya faragha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…