Duh hii ni kwa wale kwenye gari zenye ubora,kwetu sie wengine hiyo play ya usukani inakulazimu saa zote unahangaika na usukani na hizo barabara zetu sasa
Chukulia kipande cha Mlandizi mpaka Chalinze na hizo pozi za kushika usukani hivo si utajikuta upo pembeni ya barabara AMA umeiingia gari ya upande mwingine