VIDEO:"Mazoea Yana Taabu"

VIDEO:"Mazoea Yana Taabu"

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,412
Hamjamboo wana JF wote wapendwa!!
Leo nimekuleteeni nyimbo nzuri sana iliyoimbwa na Abdallah Issa, Ambaye sasa anaishi Arabuni nchi ya wastaarabu.
Hii nyimbo ina mantik kubwa sana, inaeleza vipi Binaadam anavyopata shida na kuteseka wakati anapokuwa mbali na mahbuba wake.
Karibuni sana muisikilize, Enjoy your day...MWAAAAH!
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=H-1c_xz_Ke0[/ame]
 
hapo nimekubali, nyimbo ina maana kubwa, mpaka machozi yamenitoka
 
Hahaha hapo umeniacha hoi, kumbe mkuu wewe ni mtaalamu sana.....
 
Mazee kama unazo nyimbo nyingine nzuri kama hiyo tuwekee, nimemtumia wife kai mind sana
 
Back
Top Bottom