Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hahahaha nafikiri ni nakshi nakshi tuuHiyo dansi iko wapi[emoji848][emoji848][emoji848]
Video iko juu kabisa pale au bando ni shida ?Hiyo dansi iko wapi[emoji848][emoji848][emoji848]
Kwa sasa mwenyewe inasemekana amekubaliJiwe tumpige chini tupumue kwa kweli
Tulionya tukapuuzwaTulia anazunguka na kakikundi kake ka wanafunzi kila mahali, kusema ukweli ni ngumu sana kwa Ccm kushinda Mbeya
Haswaa. Dhalimu anapotawala, nchi huugua.Jiwe tumpige chini tupumue kwa kweli
Uzi umeandikwa na muhuni, kumsifia muhuni