Video mbili za Lucy

Video mbili za Lucy

Lucy kwenye maombi

Hiyo ya pili imeniacha hoi. Yaani Lucy vita vya kiroho yeye anavigeuza kuwa vita vya kimwili. Hapo mchingaji alikuwa anatolewa ngeu walah
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi kumbe tatizo ni alhaji TEKNO.. sasa mbona mie niko na huawei honor iko na ram gb 6 huko na bado baadhi ya video zinasumbua!? [emoji849]
Muongo huyo mi nina Tecno S1 na videos zote zinasoma.

Mfano hii hapa ya kwanza kuna mwanamke anapalilia shamba la alizeti na ya pili ni Ronaldinho anapiga danadana
 
Muongo huyo mi nina Tecno S1 na videos zote zinasoma.

Mfano hii hapa ya kwanza kuna mwanamke anapalilia shamba la alizeti na ya pili ni Ronaldinho anapiga danadana
Dah..hahahaha
 
Kwenye clip ya pili Lucy itakua alimsindikiza mwenzake sasa anashangaa shughuli inageukia kwake! Hahaha
 
Back
Top Bottom