Hivi kumbe tatizo ni alhaji TEKNO.. sasa mbona mie niko na huawei honor iko na ram gb 6 huko na bado baadhi ya video zinasumbua!? [emoji849]da lucy katisha
nawasikitikia wenye tecno hawawezi kuziona hizi video labda watumie browser
Muongo huyo mi nina Tecno S1 na videos zote zinasoma.Hivi kumbe tatizo ni alhaji TEKNO.. sasa mbona mie niko na huawei honor iko na ram gb 6 huko na bado baadhi ya video zinasumbua!? [emoji849]
Basi ana chuki binafsi na TEKiNOMuongo huyo mi nina Tecno S1 na videos zote zinasoma.
Mfano hii hapa ya kwanza kuna mwanamke anapalilia shamba la alizeti na ya pili ni Ronaldinho anapiga danadana
Ya kwanza in sekunde 29 ya pili sekunde 25 wala sio kubwa angalia tu mkuu usiogope!😂Zina MB ngapi