VIDEO : Mbowe na Mwijaku wakiwa katika uchawa

VIDEO : Mbowe na Mwijaku wakiwa katika uchawa

Wewe mleta mada uko nyuma sana ya muda. Utakuwa unashinda Facebook wewe.

Hii kitu watu wameiona na kuijadili tangu wiki iliyopita wewe ndiyo unaileta leo??? Shubamiti!
 
Wewe mleta mada uko nyuma sana ya muda. Utakuwa unashinda Facebook wewe.

Hii kitu watu wameiona na kuijadili tangu wiki iliyopita wewe ndiyo unaileta leo??? Shubamiti!
Sio mbaya nikikumbushia,
 
Kwahy mada inamhusu aliyekufa au hao chawa.? Au asali imekuzidi utamu.?
 
Huyo lilian Mbowe usimwite mtoto pengine anamzidi mamako aliyekuzaa.

Maisha mabovu na ya kimaskini ya huko kwenu chato yanawafanya kila asiye na mwili wa kuchoka mnamwona mtoto. Lilian ni mtu mzima sana sema tu ako na good life.
Mumeo na watoto hawajambo??
 
Kuna watu amkumuelewa Magufuli na misimamo yake fanya kazi usitegemee kula kwa jasho la mwenzako.

Kuna mambo mengine ukiona yanasikitisha kwakweli, kibaya zaidi tunaya-promote.

Na inaonekana hizi tabia ni normal kwenye jamii yetu; wakati interpretation zake ni encouraging vijana walio give up kutengeneza maisha yao wenyewe kwa na namna sivyo.

Sijui labda nimeishi kijijini kwa muda mrefu; binafsi nimepitia mengi kwenye maisha yangu na baadhi ya watu walioshika mpini wa maisha yangu na walivuruga kweli kwa roho zao za ukatili. Lakini sikuwai kunyekekea kama walivyotaka wao nilikuwa tayari kulala nje (na yashanikuta hayo) but never was I anyones slave, never.

Binafsi hii tabia ya mnayo I-promote sidhani kama ni sahihi; but then what do I know without having the full picture of their challenges.
 
Chadema ndio kwishney...hahaaaa
Kosa la Mbowe lipo wapi kwenye hiyo video; labda kama umesoma title ya thread na kutoangalia video yenyewe.

Binafsi naona kama vile hivi vyama vya siasa vina exploit umaskini wa vijana; badala ya kuwafundisha kuvua samaki; vinawejengea akili ya kupata samaki waliovuliwa na wengine vijana wanatakiwa watumie akili ya kujipendekeza kupata mlo.

Hiyo tabia inatia kichefuchefu kuendelea kupata media attention; yaani watu wanaona sifa kabisa kuitwa chawa; it’s appalling kuona watu wanalilia video image ya Mbowe ili tu waitumie kwa manufaa yao baadae.
 
Huyo lilian Mbowe usimwite mtoto pengine anamzidi mamako aliyekuzaa.

Maisha mabovu na ya kimaskini ya huko kwenu chato yanawafanya kila asiye na mwili wa kuchoka mnamwona mtoto. Lilian ni mtu mzima sana sema tu ako na good life.
Mbona irrelevant?
 
Back
Top Bottom