Kuna watu amkumuelewa Magufuli na misimamo yake fanya kazi usitegemee kula kwa jasho la mwenzako.
Kuna mambo mengine ukiona yanasikitisha kwakweli, kibaya zaidi tunaya-promote.
Na inaonekana hizi tabia ni normal kwenye jamii yetu; wakati interpretation zake ni encouraging vijana walio give up kutengeneza maisha yao wenyewe kwa na namna sivyo.
Sijui labda nimeishi kijijini kwa muda mrefu; binafsi nimepitia mengi kwenye maisha yangu na baadhi ya watu walioshika mpini wa maisha yangu na walivuruga kweli kwa roho zao za ukatili. Lakini sikuwai kunyekekea kama walivyotaka wao nilikuwa tayari kulala nje (na yashanikuta hayo) but never was I anyones slave, never.
Binafsi hii tabia ya mnayo I-promote sidhani kama ni sahihi; but then what do I know without having the full picture of their challenges.