Heheheh!! Hii video mbona ya zamani sana, hilo neno sho.ga japo lina maana mbili, moja ikiwemo urafiki wa kawaida, lakini halitumiki sana sana mikoani kama ilivyo pwani. Kuna maeneo unaweza kulitumia ovyo likusababishie kichapo.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Wakenya na kisw .....anajifanya anaremba mwandiko wakati hana points.....shoga kwa kisw cha tz naona wanawake ni marafiki walioshibana haswaa.....
Kwa kijana wa kiume ni wale wanaofanywa kama wanawake .....gay. ...poor them,kwahyo huezi muita mwanaume mwenzio shoga akakuelewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.