Video: Mbunge wa Tunduru Kaskazini Ado Shaibu ala kiapo bungeni

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Mbunge wa Jimbo laTunduru kaskazini akila kiapo Bungeni wakati wa Kikao cha Kwanza cha Mkutano wa Kwanza wa Bunge la Kumi na Tatu wa Bunge leo Novemba 11, 2025.

Ikumbukwe Ado Shaibu ni miongoni mwa wabunge wachache wa upinzani kutoka ACT-Wazalendo walioshinda katika kinyanganyiro batili cha uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025

Soma pia Ado Shaibu auliza kuhusu katiba mpya Mgombea ZUNGU asema iko njiani

Your browser is not able to display this video.
 
Hakushinda, aliandikwa tu kupunguza kelele
 
Hawa ACT mbona hawana msimamo? Kule zanzibar wawaklishi 10+ wa baraza la wawakilishi wanaotokana na ACT wamegoma kwenda barazani. Cha ajabu katibu mkuu wa chama ameapa bunge la muungano

Je kuna ACT mbili tofauti au wanatuletea maigizo gani haya? Party has no principles or values.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…