DOKEZO Video: Mdada wa Kinondoni aliyeenda kufanya kazi za ndani Iraq afichiwa passport na mwajiriwa wake. Anyimwa chakula na kupitia mateso

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kila siku mnapewa elimu lakini hamkoni...mkiambiwa ohh maisha popote...ohh sjui tusipangiane..
Na kwa uzoefu wangu,huyu hakuondoka safari ya moja kwa moja kwenda Iraq lazima kuna nchi alianzia kwenda ndiyo akadumbukia huko iraq

Ova
 
Mtu mwenyewe KOLO.
 
Kilio cha samaki hakina machozi
 
huyu atakuwa amepeleka uswahili kwenye kazi za watu (ubishi na ujuaji) ndio wameamua kumnyoosha sasa anaanza kusumbua watu!
Kazi za mkataba mbaya zaidi aliyempeleka ndiye kasaini kila kitu wengi hawajui...Anaandikisha mkataba ili apate commission na faida. so inakuwa yule mfanyakazi hajui chochote na pesa ishatolewa.
 
Walishanyweshwa maji
Ila hawa watu nao jamani khaaa,. Tangu niko mdogo nasikiaga tu wakilalamika hivihivi sijui kwanini hawajifunzi kwa wenzao.. Kwani kazi sehemu nyingine zenye usalama hakuna ??
Huenda walishakuwa manipulated kuwa ukifika huko basi shida zako zote umemaliza
 
Acha chuki na wale wanaoteswa hapa hapa bongo na wakinamama waliokosa malezi hao ni waarabu nao.
Huyo bahati mbaya tu kaangukia kwenye sufuria la uji.
Tabia hazina uhusiano na race
Hamna mwarabu mwenye roho nzuri duniani...kama humming ambience nani amemsaidia Gaza hata Palestina wenyewe wamewakacha...waarabu wanachinjana Syria wanakimbilia Magharibi...mwarabu Ana roho mbaya full stop
 
Mbona waafrika walimuacha Gadaf anauwa pekee wamesaidia nini.
Tabia njema au nzuri haina race
 
Ila hawa watu nao jamani khaaa,. Tangu niko mdogo nasikiaga tu wakilalamika hivihivi sijui kwanini hawajifunzi kwa wenzao.. Kwani kazi sehemu nyingine zenye usalama hakuna ??
Wanawake Huwa hawasikii Katu. Hata Leo hii Kuna wengine wameenda hukohuko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…