Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Ila CCM ukiwakuta wanakemea rushwa utadhani Roho Mtakatifu kawashukia, hakuna malaika kama haoAlafu hiyo lafudhi ya chato kabisa
Ndio maana haitakaa iisheIla CCM ukiwakuta wanakemea rushwa utadhani Roho Mtakatifu kawashukia, hakuna malaika kama hao
NeverNdio maana haitakaa iishe
Ila si waliripoti ili wakamatwe? Ccm hawataki rushwa.Ndio maana haitakaa iishe
Sijawahi kuona umuhimu wa PCCB.Kama kuna vioja kama vinavyofanywa na TAKUKURU, basi inabaki wananchi wenyewe watafsiri wanavyoona wenyewe.
Huyu Ngeleja no Ngeleja yupi? Aliyekua Waziri?Nilikuwepo hapo hiyo siku. Sijui ilikuwaje sikurekodi. Kuna jamaa alipigwa na wananzengo mwanzo kabla ya tukio hili na pesa alizokuwa nazo ziligombaniwa.
PCCB wenyewe hawana menoMijadala yote hii inayohusu rushwa katika mchakato huu wa kuchuja wagombea inapoteza lengo kwa kuangalia upande mmoja tu wa sarafu na kutotilia mkazo upande wa pili.
Tatizo lipo kwa wajumbe; hao wawakilishi wa chama wanaokwenda kuwachuja watia nia.
Hawa ndio wanaotakiwa kutiwa msukosuko mpaka watapike nyongo.
Hawa ndio viongozi wa chama, kwa hiyo sura nzima ya chama wanaibeba wao.
Kama wanakuwa wapokea rushwa, chama chote ni uozo mtupu.
TAKUKURU wapambane na hawa, waachane kabisa na hao watoa vishawishi.
Kwa hiyo ni paka ambaye hata panya anaweza kumchezea tu bila ya madhara? Ni 'comedy' ya Magufuli, kama kawaida yake?PCCB wenyewe hawana meno
Tangu kura sijui za maoni sijui za nini huko zitangazwe, matukio ya rushwa yalishamiri mno, mchakato huu ulifanywa na Chadema pia ila hatukusikia haya mambo.
Video hii ni mtu anayesikika akitajwa kwa jina la Ngeleja akiwakimbia PCCB wakati wakijaribu kumkamata. Wabunge wa style hii kamwe hawawezi kuleta changamoto zozote Bungeni zaidi ya kupiga makofi, kushangilia, kukejeli na kupitisha miswada mibovu kama ile ya Madini.
Usimtaje mgombea wetuKwa hiyo ni paka ambaye hata panya anaweza kumchezea tu bila ya madhara? Ni 'comedy' ya Magufuli, kama kawaida yake?