KIMOMWEMOTORS
JF-Expert Member
- May 17, 2018
- 358
- 675
Habari ya Mapumziko wana Jukwaa?
Tukiwa katika kuelekea kilele cha kumbukizi ya kifo cha Hayati Baba wa Taifa Mwalim Julius Kambarage Nyerere kesho ziku ya Jumatatu tarehe 14/10/2019, ni vizuri tukatumia nafasi hii kujadiri masuala yanayohusu maendeleo yetu haswa katika eneo hili la magari.
Wiki iliyopita kulisambaa video ikionesha namna vijana wasio waaminifu wanavyoiba matairi kwenye gari zinazokua zimeshushwa melini kabla hazijatoka bandarini, baadae Mamlaka yetu ya Bandari yaani TPA ilitoa tamko kwamba tukio lile halikutokea katika bandari yetu, na baada ya mda mfupi Mamlaka ya Bandari ya Maputo Msumbiji ilitoa tamko kwamba tukio lile limetokea katika bandari ya Maputo na wahusika wote wameshakamatwa.
Dhamuni la kuanzisha mjadala huu ni kutaka tushirikishane mawili matatu, ambayo watanzania wanaoagiza magari kutoka nje hawajui ni kwa kiasi gani wanaweza kupata hasara inayoweza kuzuilika kwa kuibiwa baadhi ya vitu kutoka katika gari. Sisi kama wadau wa uagizaji magari nje ya nchi tunafaham na tunatambua juhudi za mamlaka ya bandari za kuimalisha usalama na kwa kiasi kikubwa udokozi wa vifaa kama jeck, radio, carpets, batri, vikofia vya viti n.k umepungua sana tofauti na kipindi cha nyuma.
Sisi sote ni mashahidi kwamba unapopanga mbini hii kujilinda, adui nae hupanga mbinu nyingine kupata anachotaka kutoka kwako, kusema hivyo tunamaanisha kwamba TPA imejitahidi sana kuimalisha ulinzi na usalama wa mizigo ya raia pale bandarini, lakini pia hatuwezi kuficha ukweli kwamba adui ameridhika kuzidiwa mbinu na mamlaka na hivyo ni vyema sana sisi kama watanzania tukabadirika na kuacha kubeba dhamana sisi kama sisi jambo ambalo ni hatarishi kwenye uchumi wetu.
Kuna hizi kampuni za uagizaji magari za kitanzania zikiongozwa na sisi Kimomwe Motors Tanzania Limited ambao tumedhamiria kuhudumia umma wa watanzania pasipo kuwawekea gharama zozote za juu na badala yake sisi tunalipwa na zile kampuni za kijapan kwa mtindo wa kamisheni ili tuweze kujiendesha bila kutengeneza faida kubwa, dhamana ya pesa yako mpaka tunakukabidhi chombo tunaibeba kupitia hiyo kamisheni tunayolipwa na hizo kampuni za nje kwamba kukitokea dharula yoyote kama kupotea kwa vifaa basi moja kwa moja sisi tutawajibika kufunga hicho kifaa tukukabidhi gari ikiwa imetimia halafu sisi tutabanana na wadau wengine katika mchakato.
Katika hii huduma yetu tumekutana na kesi kadhaa ambapo mtanzania aliagiza gari ikafika bandarini alipoipokea akakuta haina vikofia vya viti na mwingine alikuta gari yake haina kapeti za nyuma ili hali picha zilionesha hivi vitu vipo, kwa aliyeagiza kupitia kampuni kibwa moja kwa moja Japan wao walimwambia tu kwamba mkataba wao uko wazi kua hawahusiki na damage yoyote itakayotokea huko katika meli au bandari ya nchi husika, na yule aliyejiagizia yeye mwenyewe hakua na cha kufanya wala pa kulalamika.
Sio hivyo tu, wakati mwingine hutokea mtu kaagiza aina flani ya gari, akaletewa gari nyingine tofauti na aliyokusudia tena inakuja kwa kuchelewa, hapo pia anakua hana wa kumbana wala kumlaum, lakini zaidi ni kua mara kadhaa inatokea mtu kaangalia ushuru kabla ya kuagiza kwa mfano akaona atalipa 5,000,000, baada ya gari kufika anakuja kuambiwa ushuru ni 7,000,000, je ikitokea hivi na huna bajeti hiyo ushajiuliza utafanyaje?
Kwa kuziona hizi changamoto ndio sababu tukasajiri kampuni halali ya kitanzania yenye watu wazoefu katika maeneo tofauti tofauti na kuwekeza katika watu na vitu ili kuweza kuwahudumia watanzania kwa kuhakikisha wanapata walichotaka ndani ya mda na kuokoa pesa.
Tumedhamiria tunataka kua kampuni kubwa na hivyo huduma bora kwenu ndugu zetu ni nguzo kuu.
Karibuni kwa mjadara huru kama kichwa cha habari kilivyouliza kwamba kwa nini Watanzania hupenda kubeba dhamana ya pesa wao binafsi?
0746267740