VIDEO: Mkalimani aliyeingiza watu "Chemba"

Tuliingizwa chaka sana ndugu zangu hasa kwenye lugha ambazo hatuzijui kama kifaransa.
 
Mkalimani anaweza kukosea kwa 'makusudi mema ya kidiplomasia'; si kila wasemacho wageni ni sifa njema kwa viongozi ama nchi yetu, vingine ni vijembe.

Mkalimani ana akili timamu, anakijua vema Kiingereza, kajiongeza kwa manufaa ya Hayati wetu na nchi, apongezwe, asibezwe.
 
Hehehe mbavu zangu jamani, haya endeleeni kung'ang'ania hamtaki kujifunza ngeli, mtaingizwa chaka kwenye hata mambo muhimu ya mikataba...hehehe
Haya yote aliyaleta kile kibabu Nyerere kilipofuta rasmi ung'eng'e mwaka 1968.
Sijawahi kukikubali.
 
subr kdogo et jamaa hakutaka kutravel?
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣
✌️
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ Kwamba kwa wooote waliopo, hilo lijamaa ndo namba moja wao hadi walimu wanalikubali kinoma
Waniumiza mbavu ujue! 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣
✌️
 
wale ndio balaa unatajwa mkoa wa mtwara
unashangaa ameshika kichwa mara kashika mbavu unabaki unajiuliza vinahusiana vipi😎😎😎
Aaah 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
✌️
 
Kiingereza mna kithamini, kiswahili lugha mama mnakidharau. Hii imekaaje!

Mswahili akijua kuongea kiingereza humwambii kitu, ni kama kapewa dunia yote amiliki πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…